Mezani Pake

Ordinary TimeEucharist
Chorus

Mezani pake twendeni wote,ntukampokee ametualika *2

Verse 2

Mwili wake ni chakula kweli,

Damu yake kinywaji safi

Verse 3

Alaye mwili na kunywa damu,

Ana uzima wa milele

Verse 4

Mbele ya kwenda tujitakase,

Tutastahili kumpokea

Verse 5

Karibu Yesu ukae nasi,

Njia zako utufundishe

Verse 6

Na mwisho tufurahie nawe,

Katika utukufu wako