Mema Yote
Ordinary Time,WeddingThanksgiving
Verse 1
Mema yote Baba uwajalie -
Baba walinde vyema maisha yao yote *2
Ndoa yao Mungu uibariki -
Moyoni mwao pendo liwe siku zote
Chorus
Harusi - harusi ni siri kati yenu
Upendo - awajalie Mungu mwenyezi. *2
Verse 3
Nawe Bwana uwe mwaminifu -
Kwake mkeo Yesu akikuongoza. *2
Umtunze vyema maisha yote -
Haki na kweli ziwe ndizo msingi wenu *2
Verse 4
Mwanamke mzuri ni tabia -
Baba motto wako ameapa kwako *2
Atakuwa mke mwenye busara -
Nyumbani mwake pendo litajaa tele. *2