SectionsEucharistMchunga Wangu

Mchunga Wangu

Ordinary Time,Ordinary TimeEucharist
Chorus

Mchunga wangu ameniandalia mema yote.

Verse 2

Bwana ndiye mwenye kuchunga uzima wangu,nna malisho yangu kwangu ni raha milele.n

Malishoni mwake mabichi ananilaza,nsitakosa kamwe, wala sitapungukiwa.n

Penye maji yake mazuri ya utulivu, ndiponkweli Mungu anaponiburudishan

Ananiongoza pasipo mashaka yeye,npenye njia zake nzuri, adili na nyofun

Katika mabonde ya uvuli wa mauti,nna(a)m ninapopita, sitaogopa mabaya.n

Kwa maana wewe upo pamoja na mimi,ngongo lako na fimbo yako vyanifariji.n

Waniandalia vitamu mezani mwako,nnami nitashiba mbele za watesi wangu.n

Na kichwani pangu mafuta ukanipaka,nna kikombe changu kweli chajaa memayon

Wema na fadhili za Bwana zimenijia,nkwa maisha yangu, mpaka niage dunia.n

Ninaomba kwake mchungaji wa roho yangu,nna nikae kwake, mpaka nyakati za mbali.