Mbio Mbio
Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus
Mbio mbio mbio mbio itangazeni x2
Itangazeni injili ya Bwana x2 mbio
Verse 2
1. Wazee wengi wamepotea x2 -
Ni kazi yetu kuwatafuta x2 mbion2. Vijana wengi wamepotea -n3. Watoto wengi wamepotea -n4. Wamama wengi wamepotea -n