SectionsThanksgivingMbinguni Kwa Baba

Mbinguni Kwa Baba

Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1

{Mbinguni kwa Baba yangu makao ni mengi sana

Ya kwenda kwa Baba yangu njia naijua } *2

Chorus

{ Msalaba wangu mimi ni njia ya kweli

Msalaba wangu mimi utaniongoza } *2n

Mbinguni . . .

Verse 3

Dunia ni moto kweli nategemea kwenda mbinguni

Hakika dunia hii sisi sote ni wapitaji

Verse 4

Twendeni kwa Baba yangu tukiwa na raha tele

Kwa kuwa kwa Baba yangu kuna makao ya raha.