SectionsThanksgivingMbingu Zimenena

Mbingu Zimenena

Marian,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Lent,Christmas,Christmas,Ordinary Time,ChristmasThanksgiving
Chorus

Mbingu zimenena leo *2

Na mawingu mawingu oh oh yakammwaga

Mawingu yakammwaga mwenye hadhi

Uu uu [uu] nchi ikakombolewa

Uu uu [uu] Dunia ikatakata

Uu uu [uu] Mwenyezi akatukuka

Uu uu [uu] nasi tunakuimbian

Verse 2

[Naye neno ooh] naye neno

Alifanyika mwili akakaa kwetun[Nasi tukauona utu-]

Nasi tukauona Utukufu wa Mungunio io io utukufu wa Mungu

Verse 3

Ulimwengu wa raha leo

Ulimwengu wa raha unashangilia

Nazo mbi-ingu nazo mbingu nazo

Mbingu zatabasamu, {zinarukaruka [zina] *2}

Zina rukaruka kwa shangilio