SectionsEntranceMbali Kule Nasikia

Mbali Kule Nasikia

ChristmasEntrance
Verse 1

Mbali kule nasikia malaika wa mbinguni,

Wakiimba wengi pia wimbo huu juu angani

Chorus

Gloria in excelsis Deo.

Verse 3

Wachunga tuambieninsababu ya nyimbo hizo;nmwenye kwimbiwa ni nani,njuu ya nani sifa hizo?

Verse 4

Je, hamjui jambo kuunla kuzaliwa Mwokozi?

Habari ya wimbo huu ndiyonkumshukuru Mwenyezi.

Verse 5

Kweli, nasi twende hima,ntufke kule aliko,ntuone mtoto na mama,ntuwasalimie huko.