Matoleo Yetu

Marian,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus

{ Tunaleta matoleo yetu uyapokee,

Ingawaje tumeyapata kwako uyapokee

Kwa huruma yako, Bwana uyapokee

Japo ni dhaifu, Bwana uyapokee, tunakuomba } *2

Verse 2

[ s ] Mkate huu ni kiini cha ngano,

Kwenye ardhi uliyorutibisha wewe, Bwana

Verse 3

Divai ya mzabibu ni yako.

Nguvu za kuilima zimetoka kwako, nasi

Verse 4

Fedha kidogo tulizojaliwa

Vijisenti hivi hapa twakutolea, leo

Verse 5

Ulisema nijaribuni ninyi

Kwa sadaka zenu na matoleo yenu, basi

Verse 6

Kusudi utukuzwe milele

Kama mwanzo na unavyotukuzwa leo, haya