SectionsEntranceMateso Yake Bwana

Mateso Yake Bwana

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Baptism,Advent,Resurrection,Christmas,Easter,Wedding,Lent,LentEntrance
Verse 1

Mateso yake Bwana Yesu

Yalikuwa ya taabu nyingi

Lakini Bwana wetu Yesu akayavumilia

Chorus

Alipokuwa msalabani, alifadhaika sana

Akasema eloi eloi lama sabakithani (Yaani)

Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha

Verse 3

Pilato aliwauliza nimtendaje mtu huyu

Wayahudi wakamjibu na asulubiwe

Verse 4

Saa sita ilipofika Bwana Yesu alikata roho

Mara nuru ikatoweka kukawa giza nyingi