SectionsBible ProcessionMatendo Ya Mungu

Matendo Ya Mungu

Marian,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Marian,Ordinary Time,Ordinary TimeBible Procession
Chorus

{ Nayaleta mbele yenu matendo ya Mungu

Nayasimulia wazi matendo ya Mungu

Kwa sauti tamu ni matendo ya Mungu

Mwendo wa kunesa ni matendo ya Mungu, yasikieni } *2

Verse 2

Farao alipokuwa mgumu,

Fimbo ya Musa ikawa nyoka hatari, ona

Verse 3

Bahari ikasimama ukuta,

Naye Israeli akapita pakavu, ona

Verse 4

Kina Shedraki walipochomwa moto

Wakatembea huku na kule wazima, ona

Verse 5

Jiwe kubwa kaburini kwa Yesu,

Likampisha akatoka hai kama mwanzo, ona

Verse 6

Nyimbo hizi na midundo ni vyake,

Asifiwe na ahimidiwe milele, ona