Chorus
Hawa ndio wale ambao walipoishi *2
Kweli walipanda kanisa kwa damu yao *4
Verse 2
Walikunywa kikombe cha Bwana
Wakawa marafiki wa Mungu
Verse 3
Mbingu zahubiri utukufu wako
Anga latangaza kazi za mikono yako
Verse 4
Sauti yao imeenea nchi nzima
Na maneno yao hata miisho ya dunia
Verse 5
Usihofu kukiri imani,
Yake Kristu kwa watu wa mataifa
Verse 6
Tuishike imani ya kweli
Yake Kristu ili tupate uzima