Chorus
Maria mwombezi sisi wana wako katikanshida zetu tuwie kinga yetu (Maria)
Twakuomba sana tupe neema zakontuyashinde magumu tufke kwa mwanao
Verse 2
Maria mama kimbilio letu
Uwe kinga pia tulizo letu.
Verse 3
Kwenye majaribu ya ibilisi
Tupe msaada tuweze kushinda.
Verse 4
Mama kimbilio la wakosefu
Wastahili faraja ya mwanao.
Verse 5
Maria tulizo la wenye dhiki
Wapatie faraja na amani.