Chorus
{ Maria Mama wa Mungu, (Maria)
Utuombee sisi wakosefu } *2
Verse 2
Salamu Maria umejaa neema, umebarikiwa Mama
Verse 3
Bwana yuko nawe, umejaa neema, umebarikiwa Mama
Verse 4
Kuliko wake wote, umejaa neema, umebarikiwa Mama
Verse 5
Wewe mama yetu, mejaa neema, umebarikiwa Mama