Verse 1
Maria Bikira, tumshangilie
Mama yetu bora tumkimbilie
Chorus
Tumsifu, tumsifu, tumsifu Maria x2
Verse 3
Pasipo kilema tangu asili
Waitunza nzima hiyo asilin
Kumwona malaika wafadhaika
Nenole kubali tutaokokan
Wakushangilia humu vizazi
Kwani wamfumbia wao mkombozi