Mapambo
Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeBible Procession
Verse 1
{Tamkeni tamkeni sifa za Mungu Mwenyezi
Mhimidini himidini jina la Mungu Mwenyezi
Na lipambeni }*2
Chorus
{ Matendo mema ni mapambo, mapambo, mapambo
Matendo mema ni mapambo, mbinguni na duniani } *2n
Verse 3
Zisemeni zisemeni sifa za Mungu Mwenyezi
Shangilieni shangilia jina la Mungu Mwenyezi,nna lipambeni
Verse 4
Pelekeni pelekeni sifa za Mungu Mwenyezi
Litukuzeni tukuzeni jina la Mungu Mwenyezi,nna lipambeni
Verse 5
Hubirini hubirini sifa za Mungu Mwenyezi
Lishukuruni shukuruni jina la Mungu Mwenyezi,nna lipambeni