Maneno Yako Bwana
Marian,Lent,Ordinary TimeBible Procession
Chorus
{Maneno yako Bwana ni roho (ni roho)
Ni roho tena ni uzima (ni uzima) } *2n{Wewe Bwana unayo maneno ya uzima
Wewe Bwana unayo maneno (ya uzima )
Ya uzima wa milele (ni uzima) } *2
Verse 2
Fungua mioyo yetu ee Bwana,
Tuyatunze maneno ya mwanao,
Tuyatunze maneno ya mwanao
Verse 3
Maneno yako Bwana tuyashike
Yatufundishe na kutuongoza
Yatupe faraja na wokovu
Verse 4
Maneno yako Bwana ndiyo mwanga
Maneno yako Bwana ndiyo mwanga
Humulika wakati wa giza