Mama yetu Maria, mama twakushangilia -
Ni wewe mama yetu, tunayetegemea
Wewe umejaa neema tunakushangilia -
Maria mtakatifu tunakushangilia -
Mzao wa tumbo lako tunakushangilia -n
Utuombee sisi tunakushangilia -