Chorus
Mama wa msaada Maria tusaidie
Maombezi yako Maria ni nguzoyetu
Tutangulie mama katika safarinya kwenda Mbinguni tuongoze mama
Verse 2
Mama mwenye huruma msaada wetu Wakristu
Mama simama mbele yetu nasi tuwe nyuma yako tunaposafiri
Verse 3
Tunatumaini kwako, kutukumbatia wanao
Twajua ni wewe mama yetu tunapokulilia mama usituache
Verse 4
Tulitaje jina lako kwa taji wote
Twajua wewe ndiwe mwombezi wetu tuweze shinda maovu tunaposafiri