SectionsThanksgivingMama Mzazi Wa Mungu

Mama Mzazi Wa Mungu

MarianThanksgiving
Verse 1

Mama mzazi wa Mungu mama twakushangilia

Wewe ndiwe mama yetu, Mama mwengine hatuna

Chorus

Ewe Maria mama, tuombee kwa mwanao

Ewe Maria mama, tuombee kwa mwanao

Verse 3

Maria twakupongeza, kwa kuwa u mama yetu

Tulegeze ukaidi, na tuwe wanyenyekevu

Verse 4

Pale msalabani juu, mwanao kakupeana

Akawambia Yohane, tazama huyu mama yako

Verse 5

Maria anatuonya, kama Mama wa Kanisa

Anasema dunia hii, dunia imechafuka