Verse 1
Mama Maria mwombezi wetu,
Mama wa neema na wa huruma
Tusikilize mama wa Yesu
Tusikilize wakosefu
Chorus
Twakuomba mama Maria kwa mwanaonmama tuombee sala zetu mama Maria
Kwa mwanao mama zifkishe nyoyo zetunmama Maria zatamani kufka mbinguni
Verse 3
Mama Maria uliye mwema
Tuliza nyoyo zetu wanaontunaposhindwa tusaidientusijebaki katika giza
Verse 4
Mama Maria twakwamini
Mama wa Mungu msaada wetu
Matumaini yetu ni kwako
Katika shida tusimamie
Verse 5
Mama Maria usituache
Umpelekee Bwana maombinatubariki wenye mashaka
Atupe uzima wa milele