Chorus
Mama Maria pokea zetu salamu, twakusalimu ee Mama wa Mkombozi, leo twakuimbia tukikushangilia x2
Verse 2
Utuombee kwa mwanao yesu kristu,
Tupate heri na maisha ya furahan
Maombi yetu pamoja na sala zetunzifike kwake yesu mkombozi wetun
Twakusalimu salamu mama marianmbarikiwa uliyejaa neeman
Twakuimbia kwa shangwe pia furaha,ntwakusalimu pokea zetu salamu