Chorus
Mama Maria mama tunakusalimu, wewenuliyetukuka uwinguni *2
Tunajinyekeza mbele ya uso wako,
Tunakuimbia nyimbo zetu tunakusifu *2
Verse 2
Ee mama yetu utusikilize, sisi wanaontunakusalimu
Verse 3
Usitutupe tunapokujia, ewe mamanyetu utukaribishe.n
Verse 4
Tunakujia tukiwa na shida utupokeenee mama wa Mungun
Verse 5
Utuopoe katika maovu, utuongozenkatika maisha
Verse 6
Utuwezeshe tufe kifo chema, tufkenufalme wa mbinguni.