SectionsThanksgivingMama Bikira Tumshangilie

Mama Bikira Tumshangilie

Marian,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,MarianThanksgiving
Chorus

Maria Bikira tumshangilie ,

Mama yetu bora tumkimbilie.

Tumsifu , tumsifu

Tumsifu , Maria *2

Verse 2

Pasipo kilema tangu asili

Waitunza nzima hyo fadhili

Verse 3

Kumwona malaika wafadhaika

Nenole kubali ,tutaokoka .

Verse 4

Wakushangilia humu vizazi ,

Kwani wamfumbia wao mkombozi.