Mali Yako

Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Easter,Wedding,Wedding,Christmas,Ordinary Time,Wedding,Easter,Lent,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Christmas,Christmas,Ordinary TimePresentation of Gifts
Verse 1

Mali yako Mali Yako, Mali yako,nna vinatoka kwako vyote mali yako na vinatoka kwako

Mkate wetu nayo divai yetu Dhabihu zetunnayo divai yetu mali yako mali yako mali yako

Verse 2

Mali yako nguvu zangu na uhai wangunfamilia na jamii yangu Fedha nilizonazonni zako mazao nivunayo ni yako

Chorus

Milele! Mi- Mi- Milele (Utukuzwe utukuzwe Bwana Mungu milele) x 2

Maana kwa wema wako tumepokea huu mkate na kutoka kwako tumepokea hii divai.

Verse 4

Mali yako:Umri wangu na ujana wangu

Shida zangu furaha zangu

Na vipaji vyangu vyote x2

Verse 5

Mali yako:Ndoa yangu na uchumba wangu

Utume ukasisi na utawa wangu

Mwili na roho yangu ni vyako x2

Verse 6

Mali yako:Utajiri na elimu yangu

Umaarufu wangu mkubwa

Hadhi niliyo nayo ni yako,

Unyonge wangu pia ni wako