Malaika Wa Bwana
,Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus
Malaika wa Bwana (Mungu)nuchukue sadaka (zetu),nupeleke mbele ya uso wa Bwana x2
Verse 2
Mkate na divai tunakutolea -
Chorus
ni sadaka safi ya kupendeza
Verse 4
Fedha za mifuko tunakutolea -n
Nafsi zetu zote tunakutolea -n
Mazao ya mashamba tunakutolea -