Malaika Wa Bwana Uchukue Sadaka
Christmas,Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus
Malaika wa Bwana, uchukue sadaka,nupeleke mbele ya uso wa Mungu x 2
Verse 2
Ni mazao ya nchi yetu,nna kazi yetu wanadamu Malaika
Verse 3
Mkate mazao ya shamba,ndivai tunda la mzabibu Malaika
Verse 4
Ufikishe sadaka hii,nkaribu na kiti cha enzi Malaika
Verse 5
Sadaka yetu ifanyike,nmbele ya uso wa Muumba Malaika