SectionsThanksgivingMalaika Gabrieli

Malaika Gabrieli

Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Easter,Wedding,Wedding,Christmas,Ordinary Time,Wedding,Easter,Lent,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,ChristmasThanksgiving
Chorus

Malaika Gabrieli alitumwa na Mungu

Kwenda kmpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti

Kwa mwanamwali bikira *3

Aliyekuwa ameposwa na Yusufu na Yusufu wa ukoo wa Daudi

Jina lake bikira huyo alikuwa Mariamun

Akaingia nyumbani mwake akasema,n'Salamu Maria umejaa neema

Salamu Maria, Bwana yu nawe

Umebarikiwa kuliko wanawake wote

Na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa'

Verse 2

Tazama utachukua mimba utazaa mwana

Utamwita jina Yesu

Verse 3

Na huyo atakuwa mtukufu ataitwa mwana

Wa yule aliye juuu