Maisha Yangu

Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Easter,Wedding,Wedding,Christmas,Ordinary Time,Wedding,Easter,Lent,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Maisha yangu

Maisha yangu ni Yesu Kristu (Bwana wangu)

Uhai wangu

Uhai wangu ni Yesu Kristu (Mwokozi) } * 2nn{ (Haya)n/s/ Enyi wapenzi wa Bwana njoni mjiunge nami, tumsifu Bwana Mungu wetun/a/ Enyi wapenzi wa Bwana wangu njoni pamoja nami, tumsifu Bwana Mungu wetun/t/ Enyi wapenzi wa Bwana wangu njoni mjiunge nami tumsifu Bwana Mungu wetun/b/ Enyi wapenzi wa Bwana tumwimbie Bwana pamoja nami,

Tumsifu Bwana Mungu wetu } *2

Verse 2

Anajua kula yangu, anajua vaa yangu

Anajua niendapo, anajua nitendalo

Maisha yangu yamo mikononi mwake

Verse 3

Anajua mwanzo wangu anajua mwisho wangu

Anajua nilalapo, anajua niamkapo

Tegemeo la maisha yangu ni Yesu

Verse 4

Ananipa kila kitu, ananipa na uhai

Yeye anikumbatia kama mwana wake mpenzi

Pumzi zangu zatoka kwake Bwana wangu

Verse 5

Upendo wake ajabu, huruma yake amini

Msamaha wake kwangu, daima ni wa milele

Ama kweli maisha yangu ni kwa Yesu