Macho Yetu Hukuelekea
Wedding,Ordinary Time,Easter,Christmas,Christmas,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Lent,Easter,Marian,Christmas,MarianThanksgiving
Verse 1
Macho yetu yamekuelekea wewe Mama Maria
Ndiwe mwombezi wetu
Mama bora mwenye huruma na unyenyekevu wa moyo
U kimbilio letu
Chorus
Utuombee maria, sisi wanao, ili tusije kupotea
Utawala wa shetani umetuzunguka, maisha yetu ya mashaka
Utusimamie mama maisha yetu yote tufike kwake Baba
Verse 3
Vishawishi vyake shetani vinatusonga siku zote
Uovu umezidi
Utuombee kwake Baba atupe ujasiri mwingi
Tushinde mjaribu
Verse 4
Tunapenda kuwatendea watu wotee yaliyo memanlakini tunashindwa
Ukivunje kiburi kilichomo ndani ya nyoyo zetu
Tuwe wema daima