Lord Have Mercy
Lord Have Mercy
Bwana utuhurumie *3
Kristu utuhurumie *3
Bwana utuhurumie *3
Gloria
Glory to God
Chorus
Utukufu kwa Mungu juu, na amani kwanwatu wenye, mapenzi mema *2
Tunakusifu tunakuheshimu tunakuabudu -
Tunakusifu tunakuheshimu mfalme wa mbinguni -
Ewe Bwana Mungu mfalme wa mbinguni
Mungu baba mwenyezi -
Ewe Yesu kristu mwana wa pekeenmwana wake baba -
Mwenye kuondoa dhambi za dunianutuhurumie -
Mwenye kuondoa dhambi za dunianpokea ombi letu -
Peke yako Bwana peke yako mkuu pekenyako mkombozi -
Pamoja na roho roho mtakatifu milelenamina -n