SectionsThanksgivingLo Bwana! Mbona Unameza Mate

Lo Bwana! Mbona Unameza Mate

Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Easter,Wedding,Wedding,Christmas,Ordinary Time,Wedding,Easter,Lent,Ordinary Time,WeddingThanksgiving
Verse 1

Lo Bwana mbona unameza mate na hakuna chakula

Kwani wewe huna macho huoni ile keki

Iiliyo pale mbele kumbe tutashiba

Chorus

Enyi maarusi kateni keki tuanzeni kula

Kwani watu wameanza kunyongwana maten

Lakini kateni keki kwa utaratibu

Isije ikaanguka nasi tukakosa kula

Kwani watu wasipoonja keki hiyo

Hawatatambua kwamba hii ilikuwa ni arusi

Verse 3

Mwenzangu haraka sasa ya nini mbona wanikanyaga

Kama keki hutapata mahali we ulipo

Kwa hivyo jitulize, wacha kunifinya

Verse 4

Kumbuka enyi maharusi keki hii ina maana kubwa

Kwani keki ni ishara ya kuwaunganisha

Muwe kitu kimoja msaidiane