SectionsEntranceLipigieni Mbiu

Lipigieni Mbiu

Marian,Ordinary TimeEntrance
Chorus

{ Lipigieni lipigieni mbiu kubwa, jina lake Bwana,

Liwafikie wote walio na kiu yake }*2n{ Hubirini amani ya Bwana, amani ya Bwana

Hubirini upendo, upendo, upendo

Upendo, upendo wa kweli } *2

Verse 2

Kwa jina la Yesu kila goti nalo lipigwe

Na vitu vya Mbinguni na vya duniani

Verse 3

Kwa jina la Yesu ndimi zote nazo zikiri

Yesu Kristu ni Bwana milele yote