SectionsOffertoryLeteni Ndama Wanono

Leteni Ndama Wanono

Wedding,Ordinary Time,Easter,Christmas,Christmas,Ordinary TimeOffertory
Chorus

Leteni ndama walionona madhabahuni kwa Bwana tena

Toeni bila kinyongo moyoni ndipo mtabarikiwa naye * 2

Verse 2

Leteni ndama aliyeshiba majani ya kondeni,nmkamtolee Mungu Baba yenu kwa shukrani.

Verse 3

Peleka sadaka yako iliyo safi na ya kupendeza,nndipo utakapokitikisa kiti cha mwenyezi.

Verse 4

Kumbuka yule mjane aliyetoa senti moja,nalibarikiwa na kuongezewa na mwenyezi.

Verse 5

Sadaka iliyo safi ni ile inayokugusa wewe,nhiyo ndiyo sadaka iliyo safi sana.

Verse 6

Isaka alitolewa na baba yake kama sadaka,nhivyo Abrahamu alizidishiwa uzao wake.