Nakuja waziwazi bila uoga wala aibu pasipo wasiwasi mbele zako ninasimama
Naomba neno moja niruhusu nikushukuru watu wote waone jinsi ninavyo kuthamini
Let me sing for you, let me dance for you, let me jump for you I'm praising my lord
Nabisha hodi kwako, nakuita unisikie, nagonga polepole, mungu baba nifungulie
Nitaingia kwake, nitasema na mungu wangu, nitamweleza yote kwa maombi na sala zangun
Kwa shangwe kubwa sana, kwa vigelegele na mbwembwe, kwa nyimbo tamu sana, nimekuja nikushukuru
Pokea dua zangu, ninaleta unyonge wangu, naomba neema yako, nisichoke kukuimbian
Mbingu zinahubiri, sifa zake Mungu mwenyezi, ulimwenguni wote, tunaimba na tunacheza
Angani ndege wote, wanarukaruka pamoja, wanyama na wadudu, wanasifu Jehova Jiren
Milele nitaimba, nikilikabili hekalu nitayasema yote, yale alionitendea wangu, naamini nitauona