Chorus
Leo yatimizwa maneno ya kale
Masihi kazaliwa, heko kwake
Isaya alisema Bikira atamzaan(nasi) tufurahi na kumwimbia atokaye Mbinguni
Shangwe kuu tumpokeapo mgeni
Mwana wa Mungu Kristun(tumshangilie) heko heko kwa bikira
Na mwanaye Yesu Kristu na tumshangilieni
Verse 2
Herode upoe moto, usipayuke bure
Yeye mfalme wa Mbinguni hana haja na wako
Verse 3
Herode upoe moto, usipayuke bure
Yeye mfalme wa Mbinguni hana haja na wako