SectionsExitLeo Tuna Furaha

Leo Tuna Furaha

Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Easter,Wedding,WeddingExit
Verse 1

Leo tuna furaha nyingi sana,nkwenye harusi ya wazazi wetu

Yaliyobaki na tuseme nini,ntuwape hongera kwa kazi yao

Chorus

Pete mikononi mwao,nfuraha nyusoni mwao

Bwana Mungu twakuomba,nhawa wawili wasiachane

Verse 3

Hongera hiyo hongera kwa wote,nmliyoweza kufika karibu

Kwa vile mmeshashuhudia,nharusi ya hawa wazazi wetu

Verse 4

Yesu naye alikua kanani,nkwenye harusi kubwa sana sana

Alifurahi kuona wawili,nwakiagana kuishi pamojan