Chorus
{ [ v ] Leo tumepata mfalmen[ w ] Leo tumepata mfalme, ndiye mtoto Yesu } *2n{ Utukufu juu mbinguni, na amani duniani (kote)
Kwa watu wenye mapenzi wenye mapenzi mema } *2
Verse 2
Malaika kawambia, wachungaji kondeni
Amkeni upesi, twende Bethlehem
Verse 3
Leo mji wa Daudi, kazaliwa mfalme
Jina lake Emanueli, Mungu pamoja nasi
Verse 4
Malaika kawaambia, wale mamajusi
Kutoka mashariki, kazaliwa mfalme.
Verse 5
Mtaona hiyo nyota, kutoka mashariki
Ndiyo itawaongoza, alipo mfalme.