Verse 1
Leo shangwe za harusi, ni furaha mwaoana *2
Leo ninyi mwaungana kitu kimoja kwa upendo *2
Chorus
Mpendane mtunzane siku zote,
Muishi kwa amani daiman(ee na furaha Mungu awajalie watoto) *2 ee
Verse 3
Kama Adamu na hawa mmekuwa kitu kimoja.
Kama Yesu na kanisa mwaungana kwa upendo.
Verse 4
Ewe kijana shukuru umechagua mzuri
Msichana shangilia kati ya wote ni wewe.