Chorus
Leo ni furaha kweli, vigelegele za arusi kweli
Bwana arusi mpende bibi Arusi
Bibi arusi mpende Bwana arusi
Mume awe kichwa na bibi
Kama Kristu kichwa cha kanisa
Verse 2
Nawe mume mtunze mke wako ukijua ni mwili wako
Verse 3
Nawe mke mtii Bwana wako ukijua ni kichwa chako