SectionsEntranceLeo Hii Kuna Mambo

Leo Hii Kuna Mambo

WeddingEntrance
Chorus

Leo hii kuna mambo, msema kesho ni muongo

Furaha ya leo ni hakika, furaha shangilieni.

Verse 2

Nasikia leo kuna shangwe,

Ni shangwe ya nini jamani, leo hii.

Verse 3

Mbona nyote mwashangilia

Furaha yote ni ya nini, leo hii

Verse 4

Kumbe leo kuna harusi

Ndiyo maana mwashangalia, leo hii

Verse 5

Hakika na tufanye shangwe

Tuwapongezeni wenzetu, leo hii

Verse 6

Nanyi Bwana na Bibi harusi

Furahi na kushangilia,leo hii