SectionsExitLaumu Imevunja Moyo

Laumu Imevunja Moyo

Ordinary TimeExit
Chorus

Laumu imeuvunja moyo wangu (Imeuvunja)

Imeuvunja (moyo wangu) moyo wangu *2

Verse 2

Nikalegea nikatazamia wa kunisikitikia

Nisimwone, Na wa kunituliza asipatikane

Verse 3

Wakanipa nyongo, hicho ndicho wakasemanchakula changu, uovu gani,

Nilipoona kiu wakanipa siki

Verse 4

Yamenizua mikono yangu na miguu yangu

Naweza kuhesabu mifupa yangunote ya mwilini mwangu

Verse 5

Ee Mungu wangu usikawie

Ufanye haraka uje kuniokoa,

Watesi wafurahi kushindwa kwangu