Chorus
Amkeni watu wa mataifa yote, kyenzenzelu,
Tumsifu Mungu wetu mwenye uwezo, kyenzenzelun(kwa maana) Bwana Mungu
Ametenda mambo makuu ya ajabu, kyenzenzelu
Tuimbe tucheze tusifu Mungu wetu, kyenzenzelu *2
Verse 2
Simameni wazee kwa vijana wote kwa furaha, tumsifu
Tumwimbie Jalali wetu Mwenyezi, mtawala *2
Verse 3
Ni mfalme bendera ya wokovu wetu kwa furaha, tumsifu
Tumpe sifa kiongozi wetu shupavu, mtawala *2
Verse 4
Kwa hakika ni Alfa na ndiye Omega kwa furaha, tumsifu
Jemedari hoye hoye ni mshindi, mtawala *2
Verse 5
Tumwimbie, dunia na nchi icheze kwa furaha, tumsifu
Tumchezee milima nayo iyumbe, mtawala *2
Verse 6
Tumhimidi aliyeumba vitu vyote kwa furaha, tumsifu
Bahari na duniani na mbinguni, mtawala *2