Chorus
{Kweli ilimpasa Kristu ateswe
Na kufufuka katika wafu aleluya } *2
Verse 2
Furahini mkishiriki mateso ya Kristu
Mtafurahi zaidi atakapofika tena
Verse 3
Ikiwa tulikufa pamoja na Kristu
Tutaishi pia pamoja naye
Verse 4
Tukiendelea kuvumilia
Tutatawala pamoja naye
Verse 5
Tukiishi twaishi kwa ajili ya Bwana
Tukifa tunakufa kwa ajili ya Bwana
Verse 6
Kristu alikufa akafufuka
Apate kuwa Bwana wa walio hai na wafu
Verse 7
Muwe waamninifu hata mpaka kufa
Nami nitawapeni taji la uhai