Chorus
{ Kwa nini nisimpokee,
Kwa nini nisimpokee Bwana }*2n{ Amenialika kwa karamu yake ya mapendano
Kwa nini nisiitikie,
Kwa nini nisimpokee Bwana }*2
Verse 2
Amejiweka katika maumbo ya mkate na divai
Verse 3
Amenialika Mbinguni ni kweli ameniweka tayari
Verse 4
Ni Mungu kweli ingawa hatumwoni tuwe na imani kweli