SectionsEucharistKwako Bwana Zinatoka Sifa Zangu

Kwako Bwana Zinatoka Sifa Zangu

Lent,Ordinary Time,Ordinary TimeEucharist
Chorus

Kwako Bwana zinatoka sifa zangu (sifa zangu) * 4

Katika katika kusanyiko katika kusanyiko kubwa

Aleluya aleluya aleluya

Verse 2

Nitaziondoa nadhiri zangu,

Mbele ya wamchao * 2

Wapole watakula na kushiba,

Wamtafutao Bwana wataamsifu

Verse 3

Miisho yote ya dunia itakumbukwa

Na watu watamrejea Bwana *2

Jamaa zote za mataifa watamsujudia,

Wakwasi wote wa dunia watakula na kusujudu

Verse 4

Zitasimuliwa habari za Bwanankwa kizazi kitakachokuja *2

Nao watawahubiri watakaozaliwa haki yake

Ya kwamba ndiye aliyefanya ndiye aliyefanya