Chorus
Kwa Yesu ni tambalale, tambalale tambalale
Kwa Mungu hakuna milima, tambalale tambalalen(Tambalale)n{ Tambalale tambalale tambalalen(tambalale) tambalale Tambalale hakuna milima,n( kweli tambalale ) } *2
Verse 2
Hakuna magonjwa, dhiki wala njaa
Hakuna tatizo, Mbinguni ni raha
Verse 3
Hakuna dhuluma, wala ufisadi
Hakuna tajiri, wote kwake sawa
Verse 4
Hakuna ulevi, hakuna uzinzi,
Hakuna huzuni, wote ni furaha
Verse 5
Mbinguni kwa Baba, makao ni mengi
Tujipange sawa tukaishi naye