SectionsThanksgivingKwa Wingi Wa Fadhili

Kwa Wingi Wa Fadhili

Lent,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

[s] Kwa wingi wa fadhili zako,n[w] Kwa wingi wa rehema zakon|s| Bwa-na Bwana nikushukuruje Bwanan|a| Nikushukuruje Bwana nikushukurujen|t| Bwana Bwana Bwana nikushukuruje Bwanan|b| Nikushukuruje mimi nikushukuruje (sasa)n[w] Mimi nikushukuruje Bwana wangu

Verse 2

Nitaimba vipi mimi, wimbo gani niimbe

Nimwimbie kwa furaha na shangwe kubwa

Verse 3

Siku zote ninawaza, kitu gani nimpe,

Kwa maana kila kitu ni mali yako,