Verse 1
Kwa sherehe na shukrani ya moyo,nwakristu leo tufanye shangwe
Tumwimbie Mwokozi siku hiyo,namefufuka tufurahiwe
Chorus
Amefufuka asifiwe,ntukaokoke kwa ufufuko we
Verse 3
Maria Salome na Magdalenenkaburini wenda alfajiri
Nayo manukato na manemanenkumtia Yesu kama desturi
Verse 4
Mlangoni mwa kaburi wakifika,nwalikuta ndani yake wazi
Waambiwa mara na malaika,nhamo amefufuka Mkombozi
Verse 5
Yesu u mfano wangu maishani,nnipendelee utakatifu
Nitatoka nami mzima kaburini,nnitafufuka mwenye utukufu