SectionsEucharistKwa Nini Nisimpokee?

Kwa Nini Nisimpokee?

Ordinary TimeEucharist
Chorus

{ Kwa nini nisimpokee,

Kwa nini nisimpokee Bwana }*2n{ Amenialika kwa karamu yake ya mapendano

Kwa nini nisiitikie,

Kwa nini nisimpokee Bwana }*2

Verse 2

Amejiweka katika maumbo ya mkate na divai

Verse 3

Amenialika Mbinguni ni kweli ameniweka tayari

Verse 4

Ni Mungu kweli ingawa hatumwoni tuwe na imani kweli