SectionsEntranceKwa Nini Nisiende

Kwa Nini Nisiende

Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeEntrance
Verse 1

Na nyumbani mwake Bwana, nani ataingia

Bwana yuko mlangoni, atungoja tuingie

Twendeni wote kwake, tumtolee ibada kweli

Chorus

Kwa nini nisiende (nyumbani) *2

Niingie nyumbani mwake

Kwa nini nisiende (nyumbani) *2

Nishiriki karamuye

Kwa nini nisiende (nyumbani) *2

Nimshukuru Muumba wangu

Verse 3

Kina baba tuingie, kina mama tuingie

Tukamuimbie Bwana, nyimbo nzuri za furaha

Verse 4

Vijana tuingie, na watoto tuingine

Tukamuimbe Bwana, nyimbo nzuri za furaha

Verse 5

Makasisi tuingie, na watawa tuingie

Tukamuimbe Bwana, nyimbo nzuri za furaha

Verse 6

Tupige vigele gele, kayamba ngoma tucheze

Kuruka pia turuke, shingo na zinesenese